Vita ni dhidi ya ukafiri ambao humo ndani ya CCM ,waislamu watakiwa kutumia silaha zote ambazo ni upigaji wa kura na kuhakikisha CCM ya ng'oka MA Darakani na vilevile kutumia mbinu yoyote katika kusimamisha jihad ya kuunusuru uislamu Tanzania, aidha waumini wame takiwa wasiwe waoga katika kuitetea dini ya mwenyezimungu na wasidhani kwamba wataipata pepo hivihivi tu bila ya kupata misukosuko duniani?...alisema mmoja waviongozi wa taasisi za kiislamu hapo katika viwanja vya mwembe yanga vilivyoko temeke jijini dar res salaam hapo Jana,vilevile SHEKH Juma bungo alielezea kisa kizima kilo sababisha katibu wa jumuia na taasis za kiislam ,mwanaharakati SHEKH Ponda kupigwa risasi nakwamba hule ni mpango ambao umepangwa na viongozi wajuu was CCM walioko serikalini nakwamba walidhamiria kumuua SHEKH kwasababu hawataki kuusikia ukweli na ama kwa hakika uislamu hunapigwa vita sio hapa Tanzania tu Bali ni duniani kote napia SHEKH bungo amesema kauli ya viongonzi wa jumuia na taasisi za kiislamu ikiwataka viongozi wakuu katika ulinzi na usalama nchini kama wazili wa ulinzi na usalama nchini Dr Emanuel nchimbi kijiuzuru, navilevile kamanda wa polisi wa mkoa wa Morogoro lazima afikishwe mahakamani pamoja na yule aliye mpigarisasi SHEKH Ponda laasivyo kitakacho kuja kutokea hapa nchini wasi wa laumu viongozi wa kidini na hao hao wanao waita wachochezi wasije wafuata kutaka wawa tulize waislamu pindi pale watakapo hamua kufanya vile wajuavyo .amesema SHEKH bungo kwa kusisi tiza kwamba waislamu wanataka tume huru iundwe na wasiwemo haskari hata mmoja bali ihusishe watu wengine kabisa wakiwemo waislamu,na SHEKH amesisitiza kuwa waislamu waaache ujinga wa kuikumbatia CCM kwani hao ndo maadui wa kubwa wa uislamu Tanzania hivyo akiwataka wafunguke macho na wahakikishe wanang'oka kwanjia yoyote ile nakwamba waislamu wawe na mshikamano na waziweke tofauti zao kando na wapiganie maslahi yao wote kwa pamoja....pia amesisitiza kwamba kupiga kura ndo muhimu katika kuhakikisha udhalimu unaondoka na ninjia mojawapo ya kuisimamisha dola ya kiislamu nakuhakikisha tunautoa mfumo huu wa kikafiri wa kidemo krasia hivyo waislamu wata tumia njia zozote katika kuuondoa udhalim kama tutahujumiwa kinamna yoyote ile."Wasione tuko kimya tunajipanga na waislamu jitayarisheni kwani wasipo tutekelezea matakwa yetu litafanyika tukio la kihistoria hapa nchini Tanzania na halito sahaulika" alimalizia akisema SHEKH bungo
.
Sunday, August 18, 2013
Waziri Emmanuel Nchimbi hana takiwa kujihuzuru, na waislamu Tanzania. na vita ni juu ya CCM na waislamu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
tafadhali tuandikie maoni yako.