Sunday, August 11, 2013

"DAMU YA SHEKH PONDA NDO CHANZO CHA UKOMBOZI WA WAISLAMU WA TANZANIA"Shekh KUNDECHA.

Baadhi ya waislamu walio hudhuria katika mskiti wa mtambani jana tarehe 11/08/2013 Baada ya swalat laasir iliyo swaliwa msikitini hapo. 


 Ambapo shekh Kundecha kiongozi wa jumuia na taasisi za kiiislamu alipotoa tamko la waislam juu ya kadhia iliotokea mjini Morogoro ambapo shekhe Ponda alipo pigwa risasi.
takkbiir,Allahu akkbar







shekh aliekuwepo katika tukio la umwagaji damu ya shekh ponda Morogoro akitoa ushahidi kwa waislamu juu ya yaliojiri .



umati wa waislamu walio hudhuria katika Mskiti wa mtambani jana.



Add caption




waislmu wakitoka baada  ya kutolewa tamko hapo jana


waislamu wajidiri juu ya kilichomkuta shekh Ponda.



Shekh Ponda akiwa Hospitalini MUHIMBILI.






 Aidha AMIR wa taasisi na jumuia za waislamu nchini Shekh KUNDECHA alitoa tamko la Waislamu la kuitaka serikali imtafute aliye mpiga risasi shekh Ponda na pia imchukulie hatua haraka iwezekanavyo laaasivyo wao Serikali ndio watakua ni chanzo cha uvunjifu wa ammani nchini na waislamu hawatosita kuchukua sheria mkononi kama walivyo chukua haskari waliompiga Shekh ponda.







Shekh Ponda yuko Muhimbili alipelekwa na waislamu wenyewe na sikweli kwamba yuko mikononi mwa polisi kamainavyosemwa na kama polisi wata mkamata baasi twasema waondo watakua chanzo cha vurugu nchini nawaislamu wakotayari damu yao imwagike kwakua wao hawana thamani na damu ya waislamu iliyo mwagika mwembe chai au wale waliotangulia kabla yao waliokufa kwa kuipigania dini ya Allah na kwamba damu ya Shekh Ponda ndio itakua ukombozi kwa waislamu ambao wanadhulumiwa Tanzania, akimalizia hivyo shekh Kundecha.

1 comment:

tafadhali tuandikie maoni yako.