Ona hii katika Rasimu ya katiba mpya..
Uhuru wa
imani ya dini -31
(3)
Shughuli ya uendeshaji wa jumuiya za dini itakuwa nje ya
shughuli
za mamlaka ya Serikali.
(5) Ni marufuku kwa mtu, kikundi au taasisi ya
dini kutumia uhuru
wa
kutangaza dini kwa kukashifu imani na dini nyingine, kujenga chuki au
kuchochea vurugu na ghasia kwa madai ya kutetea imani au
dini.
Hivi
vipengele vilekebishwe au viondolewe kabisaaa…Hivi ni ipi maana ya kashfa
katika kipengele(5) Je mwaikumbuka kadhia ya Muhadhiri wa kiislamu Lubegula?
Sisi waislamu tunasema YESU SI MUNGU wala SI MTOTO WAMUNGU na waklisto
wanaamini kuwa YESU NI MUNGU NA NI MTOTO WA MUNGU je nanai anae mkashfu
mwenzake hapo? Waislam kila mmoja katika nafasi yake tuchangieni katika
kubadili katiba hasa rasimu hii.Maswali mengine rasimu hii inasema kila mtu ana
haki ya kuabudu na kuwa au kuto kuwa na dini,je mahkama ya kadhi sio sehemu ya
ibada kwa waislamu? Mbona haija ainishwa kwenye rasimu hii? Serikali imesema
tuunde mahkama zetu za kadhi,je zikianza kutoa hukumu zinazo husiana huislamu
serikali haitaingilia? Kwetu sisi waislamu mtu akitoka kwenye uislamu na kwenda
dini nyingine ni murtaddi sharti auwawe na rasimu hii inasema mtu anauhuru wa
kuingia dini yeyote ama kuhamia dini yeyote,je hatuja ingiliwa uhuru wa kuabudu
hasa katika swala
No comments:
Post a Comment
tafadhali tuandikie maoni yako.