Friday, August 16, 2013

KHOTBA YA IJUMAA NO.5.MPAKALINI UDHALIMU HUU, BAADA YA SHEKH PONDA NANI ANAFUATA?

MPAKALINI UDHALIMU HUU, BAADA YA SHEKH PONDA NANI ANAFUATA?
Tu namshukuru allah rahima, na rehema ziende kwa karima , na aalizake kirama na shwahaba zake hazima     Amma baada,

Tumeona katika khutba ya wikimbili zilizopita namna waislamu tulivyokua watukufu na nguvu /izzah yetu kiasi kwamba hata makanisa yalikuwa yakizuia kupiga kengele za makanisa yao kwa heshma endapo misafara yawaislamu inapita karibu namakanisa yao ili wasiwakere na kuwabughudhi waislamu.

Basipia tuna wakumbusha katika zama hizo zautukufu na nguvu zetuilifikia hadi waislamu kuombwa msaada na dola yaufaransa kuwasaidia kumrejesha mtawala wao baada ya kuchukuliwa mateka katika vita .leo heshima hiyo ya waislamu imepotea kabisa.

Nakwahiyo leo matukio yakudha lilishwa kwa waislamu ,kutekwa ,kupigwa ,na hatimae kuuliwa waislamu duniani kote ni jambo la kawaida .Kwani chuki ya wanasiasa wa kidemokrasia dhidi  ya waislamu na uislamu zimevuka mipaka zikiongozwa na wanasiasa wa  marekani ,uingeleza,urusi, nk.pamoja navibaraka vyao walivyo viweka katika ulimwengu wa tatu.

Kitendocha kupigwa riusasi kwa shekh Ponda kinaingia katika orodha ya mamia kama si maelfu ya mashekh nawaislamu jumla wanavyo dhulumiwa pasina sababu ndani na nje miongoni mwao wamo kwenye kambi za mateso kama Guntanamo ,bagram, abu ghuraib nk.waislamu hao wako ndani kwa miaka au miezi kadhaa tena hajabu kanuni zao zakikafiri huwekwa kando katika kuwadhuru mashekh na waislamu kwa ujumla . mfano hai mwaka mmoja sasa tanngu kutekwanyara mwanaharakati shupavu na msenaji wa Hizb ut-Tahrir nchini Pakistani bwana Naveed    Butt .kwamuda mrefusasa haletwi mahkamani wala hajulika ni halipo .aidha matukio ya kama yakuuliwa kinyama ustadh sameer  khan,abod rogo ndani ya Kenya .Bilakusahau dhulma waliyo tendewa viongozi wa uamsho ambao bado wanaendelea kuteseka rumande Zanzibar .

Enyi waislamu watukufu ,mateso haya hayata koma maadam tunguvu na hatuna zima katika mfumo batili wa kikafiri wa kidemokrasia .Na baadhi ya waislamu kujipendekeza kwao au kudandia agenda zao kamwe si tiba,bali ni kujidhalilisha zaidi na kuwasitiri haibu ya maovu yao .

Baya zaidi waislamu na wakristo wasipo kuwa makini wanaweza kuchezewa akilizao kwa kuoneshwa kuwa uaduini baina yao .Na kusababisha vurugu kati ya waislamu na wakristo na kumuacha adui ambao ni mfumo wa kidemokrasia ukiendelea kufanya utakavyo.

Je hatuoni tukio la kumwagiwa tinndikaali mabint wawili wa kiingeleza namnagani sote tulivyo umwa masikio kwa kusikilizishwa tukio hilo marakwa mara na kutangazwa mamilioni ya fedha za walipa kodi maskini kwa atakaye toa taarifa za muhalifu aliye tenda tukio hilo .Nikweli kwamba huislamu haukubbali vitendo vya fujo ,uvunjifu wa amani ,kuharibu maliza watu ,kuchoma makanisa ,kumwagia watu tindikali nk.Lakini tatizo ni kwamba madhala wanapo fanyiwa waislamu muhalifu huwa hajulikani. Na akijulikana hanasibishwi/hahusishwi na dini .
Bali akidhuliwa asiye kuwa muislamu basi mtendaji hunasibishwa na uislamu hata kabla hajakamatwa.kipimo gani hiki cha ajabu kinacho tumika?

Enyi waislamu hakika dunia ime kugeukieni na kutaka kukumalizeni .Basi jee haujafika muda sasa wa kurudi katika uislamu wenu kikweli na sio kujidanganya kwa ujanja ujanja .kwani hata muislamu hakijifanya’ muislamu poa’kamwe kwa kafiri hawi poa,hata waislamu mukivamia agenda zao na kujipendekeza  kwao kama kushiriki katikka mchakato wa katiba ya kikafiri ,kupiga kura vyama vya kidemokrasia nk .yote ni bure tu.je hamujaona kwa jicho la yaqini juu ya ujanja wa morsi wa misri na chamachake hadikutambua mkataba na kijidola cha mayahudi ,kuwauwa mujahidina wa Sinai kwa niaba ya Israel, na kubwa kutawala kwa ukafiri.jee amesalimika?

Enyi waislamu jee mnajua kwamba tone moja la damu ya muislamu ni bora kuliko Al-kaaba.Basi vipi damu ya shekh Ponda inamwagwa kama kitu kisicho na thamani yoyote?

Enyi waislamu hakika utulivu na umakinifu kwa waislamu hautarudi ila kwa kuwepo dola ya kiislamu ambayo njia yake ipo pasi na kutumia nguvu wala mabavu .Bali ni kwa njia ya Mtume SAAW .nayo ni kujifunga na siasa safi ya kiislamu mpaka kufikia hatua ya kupata nusra,na kisha tukisha simamisha dola hiyo tutalipa kila kisasi,kupanua dola na kuunganisha miji ya waislamu chini ya bendera moja ya tawheed.
                                            
                                        9shawwal 1434 Hijria (16/08/2013 Miladi)       

No comments:

Post a Comment

tafadhali tuandikie maoni yako.