kutoka mskiti wa uijumaa mjini iringa.
si kweli kile ambacho hakipo katika Qur-an na hakiku gusiwa na mtume basi hakipo katika uislam kitu hicho;
Dondoo,qur-an ime kusanywa na kuchapishwa kipindi mtume hayupo , kuna namna tofauti zilizo fundishwa na mtume(saw) katika kutafuta ufumbuzi wa mambo ya kiislam nazo kurejea katika qur-an na sunna,au matendo ya maswahaba(visa),kutoka kwa wanazuoni wa kiislamu wakiwemo maswahaba(qias) au kujitahidi.
kuna matukukio mengi yamezungumzwa kwenye Qur-an ambayo yanaendelea kutokea na nimapya kwetu,napia uislam haujapitwa na wakati.Je wewe una ushahidi gani kwamba kwamba kile kilicho kosekana kwenye qur-an na sunna basi tukiache hivyo kwakua hakipo nani si katika uislam. Toa maoni yako hapo chini.....
Friday, November 29, 2013
kutoka ijumaa hii leo.
Labels:
tafawah
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
kwani mtume hajatukamilishia hii dini? mbona yote kesha yafundisha.....
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeletekwahiyo unakubaliana na khotuba au?
ReplyDelete