Tuesday, November 12, 2013

Kwanini watoto hapa Tanzania wanakojolea Qur-an tu na si vitabu vingine? Mchungaji Emanuel/shekh Emmanuel.

Mchungaji Emanuel ambaye kwa sasa ni muumin wa dini ya kiislam anachukizwa mno navitendo vinavyo tokea hapaTanzania vya uchafuzi wa Qur-an kwa kukojolewa,aki zungumza na ndugu zake waislamu katika msikiti wa ijumaa uliopo iringa mjini katika eneo la miomboni mjini iringa, shekh Emmanuel aliuliza "kwanini watoto wadogo hapa Tanzania wanakojolea Qur-an tu,na si Biblia au vitabu vingine? " kuna namna hapa, ipomipango hapa yakukichafua kitabu hiki kitukufu na inaonekana kinapata sapoti fulani kutoka mahali fulani,alizungumza hivyo uku akirifaa tukio lililo tokea hivi karibuni huko tengeru ambapo mtu mmoja akojolea Quran na alipo kamatwa na kupelekwa polisi,polisi walidai kua nimtoto mdogo alikua anacheza.,hivi mchezo gani wakucheza na vitabu vitukufu?  nakwanini asie muislamu ndie mwenyekuchezea na kukojolea?
Haya ni maswali ya kujiuliza kama waguswa na hili.

No comments:

Post a Comment

tafadhali tuandikie maoni yako.